Habari za leo ndugu msomaji mtanzania mwenzangu nachukua fursa hii kuzungumza na wewe leo moja kwa moja nina mengi ila kwa leo nitasema machecho wazo langu kuu ni kuzungumzia harakati mbalimbali ambazo kama mwananchi wa kawaida wa nchi yetu zinakuhusu, yapo mengi leo tunayashuhudia, unafiki wa watu tulio wapa madaraka umekithiri, ila bado kama mwanachi wa kawaida unafanya nini?.
Umefika wakati inatupasa tuamke kila mmoja aache umimi hata mimi binafsi kama mwandishi hili linanihushu natamani sana tubadilishe mioyo yetu, ndugu zangu ikohaja kila mmoja arudishe ule uzarendo ambao hivi leo umebaki kwa wachache. Nafahamu kila maskini anahitaji siku moja awe tajiri ila si kila tajiri anatamani siku moja awe maskini, viongozi wa Afrika mnatambua wajibu wenu tunawaomba muutekeleze, Nikiwa kama mwanachi wa kawaida nawageukia wanafunzi wenzangu ambao mmegeuka mabepari wa maisha yenu mkidanganyika na wale walio washika mikono nawaomba mtazame mbele kama mtapaona mtanijibu ni nini mnachokiana natamani vijana tuunganshe nguvu kijenga kesho yetu sikitamani hiki ninachokiona wengi ambao kwao ni kiza wamekata tamaa, na wale ambao Baba ni flani au anamjua flani tangu sasa anacho anacho kifanya najua wewe msomaji unadhani haya yamepita bado mimi nakueleza sisi ndo tuanayaona, nitaongea sana ila kama vijana fulsa zikijitokeza usingoje kudokezwa jitokeze wewe mwenyewe uone ni nini utachokipata haya ni yangu, nawatakia mahangaiko mema.