look around you

look around you
mysef

Thursday, March 20, 2014

BRILLIANT FOUNDATION YATEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA MGOROLE MOROGORO

Habari za leo wapezi wafuatiliaji wa blog yangu, mimi ni buheri wa afya leo napenda kuwashirikisha kitu kimoja kizuri ambacho nimekifanya nikiwa kama mjasiliamali mdogo, mimi pamoja na wenzangu ambao kwa pamoja tuna Organization ambao imijikita katika kusaidia jamii kwa namna moja ama nyingine. Brilliant Foundation ni kikundi ambacho kinajihusisha na kujitolea kwa jamii kwa namna moja ama nyingine, hapa tulitembelea kituo cha watoto yatima MGOROLE ambacho  kipo MOROGORO, na haya yalijili.

 Hapa tukiwa tumefika na kupata picha ya ukaribisho, ni muhimu sana kujitolea kwa jamii maana sikila aishie dunia hii amekamilika.
 
 hapa tukipata picha za ukumbusho na baadhi ya watoto wa kituo hicho
 hapa tukifurahia na watoto hao jamii inabidi iskae ikasahau kuwa bado wapo watu ambao wanahitaji upendo hivyo inapasa tuwakumbuke


 nawapenda sana wana Brilliant wenzangu sababu nyie ndio manaonisaidi katika namna moja au nyingine nawapenda sana.

No comments:

Post a Comment