Yes, kuna album mya ya Michael Jackson...Miaka mitano tangu alipofariki
mkali wa miondoko ya pop duniani, Michael Jackson, Sony na Epic Records
wametangaza plani ya kuachia albu ya baada ya kifo chake, walioipa jina
"Xcape"
Mkurugenzi mkuu wa Epic, amechagua ngoma 10 za Michael ambazo hazijawahi kutoka na kuziweka katika usikivu wa kisasa na kuongeza production mpya kutoka kwa Timbaland na Rodney Jerkins.
Album hiyo inatarajiwa kuingia sokoni mwezi wa tano tarehe 13