OMG, Watangazaji wa kipindi cha televishen watangaza kipindi wakiwa uchi wa myama
Watangazaji wawili wa kipindi cha televishen "The View" wamewapa
watazamaji wao mshangao pale walipovua nguo zao na kubaki uchi wakati
show hiyo ikiendelea
Sherri Shepard na Jenny McCarthy wliamua kubadilisha mambo na kutangaza kipindi chao wakiwa uchi wa mnyama.
Watazamaji hawakuonekana kujali kutokana na tukio hilo na kuwapigia makofi na kelele nyingi,
Hapa maana yake ni nini hili si jambo zuri katka mila na desruli za kibinadamu wakati wanawake wanalilia haki zao zilindwe huku wengine wakijidharirisha.
No comments:
Post a Comment