look around you

look around you
mysef

Wednesday, November 6, 2013

THIS TYPE OF CLOTHES HELL NOOOOOO.

IF YOUR IN LOVE WITH FASHION BUT WHEN IT COMES TO THIS 

OUTFIT HELL NO.

 WOULD YOU ROCK THIS DRESS??

kwa mbele 

enjoy na nyuma pia
na kakumbatiana na hubby
wake burudaniiii
Actress Jamie Alexander 

kwa pembenii
jamani mapaparazi
wanashughuli
sana



Ukiambiwa kuwa uyaone si maghorofa yanaoendelea kujengwa mjini, ni maajabu ya walimwengu wa dunia hii, na swagga zao haya publicity ni publicity iwe mbaya ama nzuri, dada Jamie Alexander alikitinga hiki kivazi wajameni na roho yake burudaniii huku akiwageuzia paparazzi  pose tofauti wafyatue wajisikiavyo...,

No comments:

Post a Comment