Tiwa Savage, akana maneno yaliyo zagaa mitaani kuwa yeye ni mjamzito,
Muimbaji kutoka Nigeria Tiwa Savage (33) amekanusha tetesi za kuwa ana
ujauzito. akiongea kuhusu habari zilizoandikwa kupitia blogs mbalimbali
kuwa anaujauzito na kuonyesha picha iliyomuonyesha na tumbo kubwa kuliko
alivyozoeleka.
Tiwa amesema hana ujauzito na kudai kuwa alikula
chakula ambacho kilikuwa kimepikwa na mafuta dizaini ya donati
iliyomfanya tumbo lake kuonekana kubwa kuliko kawaida
Tiwa Savage ambae kwa sasa ana mahusiano na aliekuwa manager wake Tee
Bills anatarajia kufunga ndoa ya kimila jumamosi ya terehe 23, Lagos,
Nigeria.
hivi karibuni Tiwa Savage ameachia video mpya akiwa na Don Jazzy "Eminado"
No comments:
Post a Comment