look around you

look around you
mysef

Thursday, December 19, 2013

KIUNO BILA MFUPA PARTY 2, WHAT IS THIS ???????

ACHEL ASAKA BWANA WA ‘KUMBONJI’ NAYE KENYA




MWANAMUZIKI Winfrida Josephat ‘Rachel’ juzikati aliwashangaza watu baada ya kudai kwamba siku hiyo baada ya shoo yao akiwa na Kundi la Kigoma All Stars mjini Nairobi alikuwa akitafuta bwana wa kumpa kampani usiku bila mafanikio.
 
Rachel akijiachia na shabiki wake stejini.
Mtandao mmoja wa Kenya wa Standard Digital News uliandika kuwa, siku hiyo baada ya shoo akiwa anazungumza na mapaparazi wa huko binti huyo alisema alikuwa akitaka mtu wa ‘kujivinjari naye’ lakini akafedheheka kwa kumkosa yule wa kumpa furaha ya kimahaba.
 
Rachel akiwa kazini.
Gazeti moja la habari la Global Publisher  lilimtafuta Rachel kupitia simu yake ya mkononi kuzungumzia hilo na  alipopatikana alisema:
“Mimi kuongea hivyo si kitu cha ajabu kiasi cha kuifanya mitandao ya Kenya inicharukie. Kwani kuna ubaya gani kusema natafuta mtu wa kuniridhisha? Ile ni mbinu tu ya kuwateka mashabiki.”

HOTLULU WHERE IS THAT SEXY BODY COMES FROM,,, LOOK HERE

THIS IS WHERE HOTLULU  SEXY BODY COMES FROM!



SIRI ya muonekano mzuri wa msanii wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ imefichuka baada ya kubainika kuwa, amekuwa akifanya mazoezi kila siku kwa kwenda gym.
Lulu akifanya mazoezi.
Lulu alianika siri hiyo hivi karibuni kupitia mtandao wa instargram kwa kutupia picha zikimuonesha akiwa kwenye tizi na baadae alipozi na kujifotoa picha ambazo zilimuonesha akiwa na umbo la kuvutia zaidi huku zikisindikizwa na maneno yasemayo; ‘ndiyo siri ya urembo’.
Hata hivyo, baadhi ya watu walioziona picha hizo walimpongeza kwa uamuzi wake huo huku ushauri pia ukitolewa kwa kila mmoja kujali afya yake kwa kufanya mazoezi pale muda unapopatikana. Yah nivizuri tuiali miili yetu

A BEATY SUPER STAR MWENGELO STIIL GOT SOMETHING TO GIVE HERE IT IS....

Jokate Mwegelo azindua Kidoti Club

Baada ya kutamba na mitindo ya nywele na nguo aina ya Kidoti brand, msichana mwenye vipaji vingi hapa nchini, Jokate Mwegelo aimeanzisha klabu yake ijulikanayo kwa jina la Kidoti Club.
Akizungumza katika uzinduzi wa klabu hiyo jana, Jokate alisema kuwa Kidoti Club ni tofauti na vilabu vingine kwani katika ujio wake huo mpya, atakuwa anajihusisha na mambo mbali mbali katika jamii husani masuala ya urembo na mitindo. Jokate pia alizindua aina mpya ya nywele zake za kisasa katika mtindo wa kidoti Brand.
Jokate alisema kuwa kupitia klabu yake atakuwa anatoa ushauri mbali mbali katika jamii na ikiwa pamoja na taarifa za muziki, filamu, wasanii mbalimbali na nyinginezo kwa ajili ya rika tofauti. Alisema kuwa lengo lake kubwa ni kupanua mtandao wake kwa jamii na anaamini watu wengi watajiunga naye.
Kwa mujibu wa Jokate ambaye ni Miss Tanzania namba mbili mwaka 2006, ili uwe mwanachama wa klabu hiyo, unatakiwa kutuma neno kidoti kwenda namba 15678 na kuanza kupata taarifa mbalimbali kutoka kwake katika kampeni hiyo ijulikanayo kwa jina la Kidoti Ng’aring’ari.
 “Huu ni mfumo wa kisasa katika kutoa taarifa mbali mbali kwa jamii,Beyonce amefanya hivyo na kwa sasa hakuna mtu anayeingia katika shoo zake bila kuwa mwanachama wa klabu yake, mimi pia naelekea huko kwani nitaweka taarifa zangu mbali mbali na ili kupata lazima uwe mwanachama,” alisema Jokate ambaye pia ni mtangazaji na mbunifu wa mavazi.
Alisema kuwa pia ataendesha mashindano mbalimbali kwa wanachama wake na kutoa zawadi kwa washindi.
 “Kama unavyojua, lengo langu kubwa ni kutumia ujuzi na kipaji chake kwa watanzania wote, nataka wafaidike na vipaji vyangu name kusimama mwenyewe katika maisha bila ya kumtegemea mtu yoyote, natoa wito kwa vijana wenzangu kuwa wabunifu katika kukabiliana na masuala mbali mbali ya maisha,” alisema. Ys sis tupo pamoja sana, hii iwechangamoto kwetu vijana wadogo na wenye nyota ya kufanya mambo makubwa

Wednesday, December 18, 2013

DIAMOND IS DATING SOMEONE ELS HEYYYYY.........

Tanzanian Singer "Diamond" has a new Girlfriend!!

 This Fashion Icon in the Tanzanian music industry told Millard Ayo on "Amplifaya" on Clouds Fm,..that,he is dating another girl for almost two months now...And he wants it..(the relationship) to stay low since his new girl is not a celebrity and he (Diamond) is trying to avoid scandals like what happened to his former relationship!
 Now...you all remember the "Diamonds are Forever" concert of last month? In that concert,we got to see the really status of the relationship between Diamond and his former girlfriend,Wema Sepetu(former Miss Tanzania). Diamond poured his heart out,and as per his song lyrics,he seemed hurt pretty bad!!
So,when he refused to aknowledge Wema's "generosity"......we knew it was over...and we gossiped much on "who is the new girlfriend?"...Some rumoured it to be Jokate...BUT now the news is out...Its NOT Jokate...the new girlfriend is just a girl next dooor,and not a Tanzanian celeb/superstar...we are yet to capture a picture of the two.....
Relationship is along way to go so brother play your cards,,,,,,,,,,

WATU 200 WANUSURIKA KUFA KUTOKANA NA AJALI MBAYA YA NDEGE

Muonekano wa ndege ya Ethiopian Airline baada ya kutua kwa dharura.
Watu 200 waliokuwa wakisafiri kwa ndege ya Ethiopian Airline wanusurika kufa baada ya ndege kupitiliza hadi nje ya uwanja mdogo wa ndege wa Arusha baada ya kutua kwa dharura.

MADAHA AFUNGUKA

Baby Madaha adai maneno ya watu yaliyosabisha aingie kwenye Mapenzi na Meneja wake (Mkenya)

Kama ningekuwa Soud Brown aka Gossip Cop basi ningetumia msemo wa U Head!!!Hivi sasa sio siri tena kwani Baby Madaha ameamua kukiri na kuweka wazi kuhusu uhusiano wa kimapenzi na bosi wa Candy n Candy 'Joe Kariuki'
Msanii huyo wa filamu na muziki hapa nchini Tanzania Baby Joseph Madaha,ameimbia Global Publishers kuwa mwanzo yeye na Meneja wake hawakuwa na uhusiano wa kimapenzi toka aanze kusimamiwa kazi zake,lakini kutokana na maneno ya watu kumzushia ambacho kitu akipo basi ndio kilichompelekea aingie kweli kwenye Mapenzi na Meneja wake.
' “Kusema kweli huyu kaka kanikoleza jamani japo watu watachonga mengi lakini abadani sitosikiliza maneno yao, kwa kuwa awali sikuwa na uhusiano naye ila porojo za watu zilipelekea kuchukua maamuzi hayo natamani niamie Kenya ili tuwe karibu wakati wote,”alisema Baby Madaha.

Aliongeza kuwa kikubwa kilichompelekea kuwa naye ni kutokana na upendo wake wa kweli alionao kwake siyo kutokana na suala la mkwanja kama wengi wanavyodhani.
As copyrighted from Dj Fety

BRILLIANT FOUNDATION BRINGS TO YOU A NEW YEAR BASH PARTY IN MZUMBE UNIVERSITY

WALE VIJANA MACHAHARI KATIKA UANDAAJI WA SHUGHURI MBALIMBALI CHUO KIKUU MZUMBE WANAKULETEA THE NEW YEAR BASH PARTY UKIWA KAMA MWANAJUMUIYA YA CHUO HIKI HUPASWI KUMISS PARTY HII NJOO NA MWENZAKO  31/12/2013

that is what am talking about do not miss this or els do not blame yourself, njoo tujumuike pamoja

THIS WAS MY YEAR

HELLOW MY DEAR VIEWRS HOPE YOUR ALL FINE, I CAN NOT STOP CONTINUE THANK MY LORD FOR THIS PERFECT YEAR IT WAS ALL WEL AS NOW AM APROACHING THE END, I KNOW YOU HAVE WHAT YOU WANT TO WRITE SEND ME WHAT WAS PERFECT TO YOU IN THIS YEAR AND I WILL DEFENETRY POST IT HERE,  STAY WITH ME

Tuesday, December 3, 2013

WHEN IT COMES TO FASHION THIS IS CALLED RED


MUSTAFA HASSANALI  TAKEN RED INTO POSITION WITH KIKI

copywrited from M.P
  When it comes to fashion you cannot stop mention one of Tanzania big designers and in this festival it happen a spectacular fashion parade by Tanzanian designers,during the Red Ribbon Fashion Gala 2013...Well,here are designs from Mustafa Hassanali and Kiki Fashions....




Mustafa Hassanali kept his signature (drapes and tails)..

From Kiki Fashions:


Kiki mixed prints and lace to give one sexy look in her designs...
Ooooh by the way..all make up for the models was done by Rehema Samo...
Did I mention how much i looooved this print?!