look around you

look around you
mysef

Tuesday, July 16, 2013

ISHU ZA UUZAJI WA MADAWA YA KULEVYA YAMVAA BINTI KIZIWI

KATIKA HALI ISIYO TEGEMEWA WASANII WENGI WA BONGO WAMEJIKUTA WAKIENDESHWA NA TUHUMA ZA UUZAJI WA MADAWA YA KULEVYA, MMOJA KATI YA MADADA AMBAO WALISHA SHIRIKISHWA KATIKA SHOUTING ZA WASANII
 SANDRA AMEJIKUTA AKIKAMATWA NA KUHUKUMIWA NCHINI HONG KONG
  

Sandra a .k. a binti kiziwi

  mwanadada huyu ambaye alikamatwa hivi karibuni sasa hukumu yake imekwisha somwa na atalitumikia Gereza lililopo Hong Kong kwa muda wa miaka mitano ndipo arejee Bongoland.

tunamtakia kila la kheri na kumuombea amalize kifungo salama na arejee nyumbani afanye mengine tena tofauti na hayo ni muda vijana wajifunze na waepukane na tabia , biashara hizi.

No comments:

Post a Comment