IKIWA KAMA MAJIBU KWA WANAODHANI YUKO SELOOOOOOOO
Baada ya habari za kukamatwa kwa mtanzania Agness Gerald na Melisa
Edward, wakiwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya zaidi ya shilingi
bilioni 6 kuenea na kuthibitishwa na kamanda wa polisi kitengo cha
kuzuia na kupambana na madawa ya kulevya "Godfrey Nzowa". Agness Jerald
ambae wengi wanahisi ni Aggy Masogange ambae pia yuko nchini South
Africa mpaka dakika hii, (ambapo haijajulikana kama ni yeye kweli)
ameonekana akiendelea kuandika kupitia mtandao wa instagram licha ya
kutangazwa kwa habari hizo.
masaa matatu yaliyopita Aggy alipost picha hii hapo chini na kuandika maneno haya
na baadae kupost pichaa hii yenye caption hiyo hapo chini
No comments:
Post a Comment