MSANII MKONGWE KATIKA TASNIA YA FILAMU AMBAYE HIVI KARIBUNI ALIACHIWA KWA DHAMANA KUTOKANA KUHUSISHWA NA KIFO CHA STAA MWENZAKE AL MAARUFU KAMA {STEVEN KANUMBA} ELIZABETH MICHAEL MAARUFU KWA JINA LA LULU, KWA MARA YA KWANZA TOKA ATOKE GEREZANI MAMEFANYA INTERVIW YAKE YA KWANZA KATIKA KIPINDI CHA TAKE ONE KINACHORUSHWA HEWANI NA CLOUDS TV, LULU ALIZUNGUMZIA JINSI GANI JERA IMEBADILISHA MAISHA YAKE, DINI IMEKUWA NA NAFASI KATIKA MAISHA YAKE, PIA KUACHIA HAYO ALIZUNGUMZIA MAHUSIANO BAINA YAKE NA MAREHEM STEVEN KANUMBA, KITENDO CHA KUUELEZA UMMA WAZI UHUSIANO WAKE AMBAO ALITHIBITISHA ULIKUWA WA KIMAPENZI NA ULIDUMU KWA MDA MREFU UMEYAJIBU MASWALI YA WATANZANIA, ILA BADO TUNAMUOMBEA KWA MUNGU AMJAZE NGUVU NA ASICHOKE KUTAFUTA RIZKI YAKE KWA NJIA YA SANAA AMBAPO YEYE MWENYEWE AME AHIDI ATAIKUZA ZAIDI
No comments:
Post a Comment