Nando na Selly |
kaka yetu anawashwa,
kaambukizwa ze ugonjwa la zinaa, mimi nikijuwa watu huwa wanapimwa
kwanza, dooooh jamani Nando , Nando ndio maana alikuwa akimchukia Selly
baada ya kumenya tunda, na aka m nominate kumbe ulikuwa na lako la rohoni mpaka pale mambo yalipozidi na kusema:
You know I hate that bi*ch !
I'm f*cking frustrated cos that bi*ch *Selly* gave me STD! That's why my blood pressure was high !"
hata hivyo Selly naye ni karuraru maana alikataa condom watu kutoka Ghana nao wamooo
muwe waangalifu jamani STD's ni rahisi sana kuambukizwa
No comments:
Post a Comment