Baada ya ukimya wa miaka 6 "Baraka au Laana" yamrudisha tena GK
Baada ya ukimya wa miaka sita bila ngoma wala interview, leo King Crazy GK akiwa amesindikizwa na East Coast Team nzima kuanzaia AY, Mwana FA, Buf G (Gizinga), Paulin Zongo, Yuzo pamoja na Snea, ameibuka na kudondosha single mpya "Baraka au Laana" aliyomshirikisha Yuzo."Baraka au laana ni swali ambalo nimewaachai watanzania wajiulize, ni baraka au ni laana uzaliwa Afrika, unajua kitaka kujua kile anachokiwaza mwingine muulize swali, akianza kufunguka ndio utajua anawaza nini juu ya ulichomuuliza, so hili ni swali kwa Watanzania. tumekuwa tukiskia watu wakisema bora kuzaliwa paka Ulaya kuliko kuzaliwa binaadam Afrika, kwasababu kule wanyama wanatimiziwa haki zao kuliko sisi huku, sasa tujiulize is it true..amesema GK."
Hapa GK alikuwa anamzuka balaaa, alikuwa anachana verse yake kwenye
wimbo wa "Hii Leo" walioufanya ECT, mara tu baada ya kufika studio. AY,
FA wote walichana verse zao.Hatari Sanaaaa
walikuja full full, studio ilikuwa kama party vile, full ma sparkling
wine na ma champagne, ktoka kushoto ni Fetty, B12, Zero, FA, AY, Buff G
(mwenye mask ya blue), Snare, GK, anaefata simjui na yule mrefuuuuuu ni
Adam Mchomvu
No comments:
Post a Comment