look around you

look around you
mysef

Friday, September 5, 2014

Msanii Chipukizi kutoka Mwanza Awaangusha Wasanii Wakubwa...............

Msanii mwenye umri chini ya miaka 15 awadiss Nay wa Mitego, Young Killer, Mo Music, Balba Levo, Kala Pina, Weusi, dogo janjaro na wengineo

Rapper mdogo kuliko wote Tanzania "Dogo D" mwenye umeri chini ya miaka 15 kutoka Mwanza ameachia wimbo unaowadiss wasanii kibao wakubwa wasanii wa mwanza Mo Music na Yong Killer lakini pia hakuwaacha wasanii wengine kama Nay wa Mitego, Dogo Janja, Pnc na wengineo
Ngoma hiyo aliyoipa jina la "Wamenichokoza" akiwa amemshirikisha King Silver amemdiss Mo Music na Nay wa Mitego kwa kusema 
"mwanzoni ulipokwenda pamoja tulikwenda kuhit basi nenda, kufanya ngoma yangu ndio unanipiga kalenda
wamitego acha poz kama dem, kama kidume kweli kwanini hupokei simu. 
hakuishia hapo aliendelea na kumdiss Young Killer  na Dogo Janja kwa kusema 
"Hakuna baba mwenye gari kuna baba mwenye nyumba, msodoki acha uongo kusema umejenge nyumba"....Dogo janjaro chunga utapauka utadhani goti la mbuzi wakati kwa madee unakula na kunywa nkujamba tu ushuzi"
alipofikia kumdiss msanii Kimbunga Dogo D alisema
"kimbunga mchawi jipange kuroga kwangu, wachawi wenzako wamekuwa wake zangu.....",  Kala pina kabuma hajui afanye nini, waambie waeusi navaa miwani na bado naona gere 
sikiliza wimbo wote hapa chini na alichokisema young killer na dogo d mwenyewe

No comments:

Post a Comment