look around you

look around you
mysef

Saturday, August 31, 2013

NI GK TENAAAAAAAAAAAA.

KAKA YETU GK ARUDI TENA GOOD TO BE BACK BROTHER

Baada ya ukimya wa miaka 6 "Baraka au Laana" yamrudisha tena GK


 Baada ya ukimya wa miaka sita bila ngoma wala interview, leo King Crazy GK akiwa amesindikizwa na East Coast Team nzima kuanzaia AY, Mwana FA, Buf G (Gizinga), Paulin Zongo, Yuzo pamoja na Snea, ameibuka na kudondosha single mpya "Baraka au Laana"  aliyomshirikisha Yuzo."Baraka au laana ni swali ambalo nimewaachai watanzania wajiulize, ni baraka au ni laana uzaliwa Afrika, unajua kitaka kujua kile anachokiwaza mwingine muulize swali, akianza kufunguka ndio utajua anawaza nini juu ya ulichomuuliza, so hili ni swali kwa Watanzania. tumekuwa tukiskia watu wakisema bora kuzaliwa paka Ulaya kuliko kuzaliwa binaadam Afrika, kwasababu kule wanyama wanatimiziwa haki zao kuliko sisi huku, sasa tujiulize is it true..amesema GK."

Hapa GK alikuwa anamzuka balaaa, alikuwa anachana verse yake kwenye wimbo wa "Hii Leo" walioufanya ECT, mara tu baada ya kufika  studio. AY, FA wote walichana verse zao.Hatari Sanaaaa
walikuja full full, studio ilikuwa kama party vile, full ma sparkling wine na ma champagne, ktoka kushoto ni Fetty, B12, Zero, FA, AY, Buff G (mwenye mask ya blue), Snare, GK, anaefata simjui na yule mrefuuuuuu ni Adam Mchomvu  
 

No comments:

Post a Comment