look around you

look around you
mysef

Wednesday, November 6, 2013

BAADA YA KUKATALIWA NDOA YVONNE ASONGA MBELE NA MAISHA YAKE

Iyanya akataa ombi la ndoa kutoka kwa muigizaji mrembo Yvonne Nelson

Muigizaj mrembo kutoka Ghana "Yvonne Nelson, ameachana na muimbaji Iyanya mara tu baada ya kumpa story kuhusu ndoa na kukataliwa.

Yvone alitaka kupeleka mahusiano yake na Iyanya katika levo nyingine, lakini hawakuwa katika ukurasa mmoja,Ripoti kutoka kwa mtu wa karibu wa Yvonne zinadai kuwa muigizaji huyo alimuambia Iyanya kuwa anataka ndoa na kumfanya awe mumewe rasmi, lakini jinsi alivyoichukulia ilimshtua sana,maana Iyanya anahisi ni mapema sana kuongelea ishu hiyo.
mtu huyo wa karibu aliendelea kuelezea kwanini mwanadada huyo aliumia baada ya kujibiwa hivyo..
"wakati msichana akikuambia kuwa anakupenda na anataka mahusiano hayo yasonge mbele na kuaza maisha rasmi na wewe na hata kuwa na wewe kama mume wake na ukamkatalia, hiyo ni mbaya sana, ni kama kusema, mchezo ndo umeishia hapo" alisema mtu huyo

No comments:

Post a Comment