look around you

look around you
mysef

Wednesday, November 6, 2013

TIWA AKANA KUWA MJAMZITO HAHAHHH

Tiwa Savage, akana maneno yaliyo zagaa mitaani kuwa yeye ni mjamzito,

Muimbaji kutoka Nigeria Tiwa Savage (33) amekanusha tetesi za kuwa ana ujauzito. akiongea kuhusu habari zilizoandikwa kupitia blogs mbalimbali kuwa anaujauzito na kuonyesha picha iliyomuonyesha na tumbo kubwa kuliko alivyozoeleka.
Tiwa amesema hana ujauzito na kudai kuwa alikula chakula ambacho kilikuwa kimepikwa na mafuta dizaini ya donati iliyomfanya tumbo lake kuonekana kubwa kuliko kawaida
Tiwa Savage ambae kwa sasa ana mahusiano na aliekuwa manager wake Tee Bills anatarajia kufunga ndoa ya kimila jumamosi ya terehe 23, Lagos, Nigeria.
hivi karibuni Tiwa Savage ameachia video mpya akiwa na Don Jazzy "Eminado"

No comments:

Post a Comment