look around you

look around you
mysef

Tuesday, July 16, 2013

MSIBA WA MAMAYAKE Z ANTO



Z ANTO AFIWA NA MAMAYE

Kwa taarifa ambazo zimeenea kwa kasi mjini ni kwamba msanii Zanto amefiwa na mama yake,
ambaye alikuwa ansumbuliwa na ugonjwa wa cancer,
tupo pamoja kaka usijali ni majaribu tu ya ulimwengu, AMEN

No comments:

Post a Comment