look around you
Sunday, June 30, 2013
SIASA
UJIO WA RAIS BARACK OBAMA NCHINI TANZANIA KIPI WATANZANIA HATUKIJUI?
NAWASALIM NDUGU ZANGU,
LEO NAOMBA NIZUNGUMZIE UJIO WA RAIS WA DUNIA HAPA TANZANIA JAMANI NINA MASWALI KADHAA NADHANI HATA NINYI MNA YAJUA ILA NAOMBA NI PATE RUKSA YA KUYAWEKA BAYANA,
NAWASALIM NDUGU ZANGU,
LEO NAOMBA NIZUNGUMZIE UJIO WA RAIS WA DUNIA HAPA TANZANIA JAMANI NINA MASWALI KADHAA NADHANI HATA NINYI MNA YAJUA ILA NAOMBA NI PATE RUKSA YA KUYAWEKA BAYANA,
- HIVI WATANZANIA WAMEANDALIWA VIPI NA UGENI HUU?
- HIVI WATANZANIA WAMEELEZWA NCHI INAHUSIKA KIVIPI NA UGENI HUU?
- HIVI WATANZANIA WAMEELEZA KIVIPI AU KWA NAMNA GANI WATAFAIDIKA NA UJIO HUU?
- NA JE WATANZANIA WAMEELEZWA ZIARA ZA WAGENI HAWA WANAOFANYA SHUGHURI ZETU ZA KILA SIKU KUSIMAMA KWA MUDA MWISHO WAKE NINI?
Monday, June 24, 2013
FROM JIDE TO MWANA F.A
KATIKA HALI YA KUSHANGAZA MWANAMUZIKI MKONGWE AMBAYE KATIKA KIPINDI KIFUP, AMEINGIA KATIKA BIFU NA MWANAMUZIKI MWENZAKE MWANA F.A VS JIDE, LEO MWANADADA JIDE O ANACONDA AMEMTWEET MWANA F.A
"Gimgim Bwana Harusi" HALI ILIYOZUA MASWALI KIBAO KWA MASHABIKI JE MWANA F.A ANATARAJIA KUOA XUN BUT BADO F.A HAJAJIB LOOKIN FOWARD FO THAT
"Gimgim Bwana Harusi" HALI ILIYOZUA MASWALI KIBAO KWA MASHABIKI JE MWANA F.A ANATARAJIA KUOA XUN BUT BADO F.A HAJAJIB LOOKIN FOWARD FO THAT
Sunday, June 23, 2013
NYUMBANI NI NYUMBANI
MODEL MAARUFU MICHELLE JENG AISHIE SWEDEN AMEZINDUA ASASI YAKE AMBAYO ATAITUMIA KATIKA KUWASAIDA KIELIMU WASICHANA WAKITANZANIA KATIKA KUHAKIKISHA WANAFIKIA MALENGO YAO YA KIELIMU. MICHELLE AMEYASEMAHAYO WAKATI WA UZINDUZI WA ASASI HIYO JIJINI STOCKHOLM, SWEDEN
pichani michelle akifafanua jambo,
pichani michelle akifafanua jambo,
MSANII WA MUZIKI DOKII AJIANDAA VYEMA NA UJIO WA RAIS OBAMA HAPA TZ
MSANII NYOTA WA FILAMU HAPA NCHINI MAARUFU KWA JINA LA DOKII AMEJIANDAA VYEMA KUMKARIBISHA MH. RAIS BARAKA OBAMA KUTOKA PANDE ZA MAREKANI, DOKII AMBAYE PIA NI MWANAMZIKI AMEANDAA NYIMBO AMBAZO ATAZIACHIA KIPINDI RAISI HUYO ATAPOKUWA KATIKA ZIARA YAKE INAYOTARAJIWA KUFANYIKA HAPA NCHINI HIVI KARIBUNI TUPO PAMOJA SANA KATIKA HILO DADA. NIMEFURAHISANA KUSIKIA HABARI HII, WE NEED PEOPLE WHO USE CHANCES NOT SPOIL CHANCES, PAMOJA DADA
Saturday, June 22, 2013
MAJONZI CHUO KIKUU MLIMANI
MANAFUNZI WA CHUO CHA MLIMANI ALIYE FARIKI DUNIA BAADA YA KUVAMIWA NA MAJAMBAZI YEYE NA WENZAKE WANNE,
CHUO CHA MLIMANI KIMEPATWA NA MSIBA MZITO BAADA YA MWANAFUNZI WA CHUO HICHO ALEX ROBERT PICHANI KUFARIKI BAADA YA KUVAMIWA NA MAJAMBAZI YOMBO, AMBAPO MAJAMBAZI HAYO YALIWAVAMIA, POLE ZIWAFIKIE WANAFUNZI WOTE HAPO CHUONI , WANAFUNZI WENZAKE WA MWAKA WA NNE NA UONGOZI WA CHUO KWA UJUMLA,
Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe AMEN

USALAMA WETU KAMA RAIA WA TANZANIA
NAIPENDA SANA NCHI YANGU YA TANZANIA NAIPENDA SITU KWASABABU NIMEZALIWA HAPA NIKAKULIA HAPA HAPANA BALI NAIPENDA NCHI YANGU KWAKUA NISEHEMU AMBAYO NAWEZA KUSIMAMA KOKOTE DUNIA NA KUJIVUNIA MIMI KUWA MTANZANIA KW AKUBALIKIWA KILA RASILIMALI KATIKA WATU NK, ILA PIA NAJIVUNIA KUWA NA NCHI AMBAYO INA AMANI NAWEZA KUAMKA NIKAENDA DUKANI BILA KUWAZA BOMU LEO LITAANGUKA AU LAH, ILA KWASASA NIMEANZA KUINGIA SHAKA HUKO NCHI IENDAKO NITAWEZA KUENDELEA NA AMANI HII SISEMI HALI NI MBAYA HIVYO ILA NAANGALI KATIKA PANDE NYINGI FEDHA, MALI ASILI, ELIMU,MIPAKA YA KIMATAIFA NAPATA SHIDA KIDOGO NADHANI IKO HAJA VIONGOZI WASERIKALI, MASHIRIKA YA UMMA YAHAMIE HUKO, UMEFIKA MDA TUULINDE ULE UMOJA WETU, UMEFIKA MDA VIONGOZI WAACHE KUNYOOSHEANA VIDORE NA KUFANYA KAZI SIASA BORA YA NCHI NI ILE TU ILETAYO AMANI SI UBAGUZI NA CHUKI, HIVYO VIONGOZI WAACHE KUAMBIA NANI ALISEMA NINI NA MASWALI YAWE FULANI AMEFANYA HIKI BADO HIKI NA HIKI, NATUMAI SIKU TUKIZINDUKA NCHI ITAKUWA INAOMBA MISAADA YA KUZA KUFUKIA MASHIMO YA DHAHABU ZETU WENYEWE,
MAUMIVU YANGU
Dedication to my special friends,
DAH SIJUI NJIA NJEMA YA KUYASEMA HAYA ILA NGOJA NIWASALIM KWANZA, LEO NINA NENO ZITO LA KULITOA ILA NAOMBA MLIPOKEE TU JAMANI NDUGU ZANGU, KAKA ZANGU,BABA ZANGU, BABU ZANGU NINAWAOMBA TU MLIPOKEE. NAZUNGUMZA NA KAKA ZANGU AMBAO HUPENDA KUWATUMIA WASICHANA KUJISTAREHESHA MIILI YAO, NA BAADA YA KUONA WAMERIDHIKA HUWADHIHAKI WASICHANA HAO NA KUWADHARIRISHA KISHA KUWAACHA, KUNA RAFIKI YANGU MMOJA ALIWAHI KUNIAMBIA' KAMWE USIMFANYE MWANAMKE AKULILIE LAZIMA UJUE MACHOZI YAKE IPO SIKU UTAYALIPA', NENO HLI KWANGU LINA MAANA SANA ILA KWA BAADHI YA KAKA ZANGU HALINA MAANA KABISA SIJUI HUWA WANAONA KUWA WAO WANAHAKI YA KUWAFANYIA VYOVYOYE WANAWAKE HAWA, ILA HUWA SIWAELEWI KWANI BAADAE HUWAFATA HAOHAO NA KUWATAKA WAWA OE. SIKU MMOJA NILIUMIA SANA BAADA YA ZAIDI YA RAFIKI ZANGU WAWILI WALINIAMBIA WALIKUWA WAMEKATALIWA NA WAZAZI WAO WA KIUME, SIJUI WENZETU WAMEUMBWA KUTUNYANYASA, KUTUDHIHAKI, KUTUDHARAU AU KUTUTUMIA KAMA VYOMBO DAH NILIUMIA SANA, ILA NAWASHUKURU WANAUME WACHACHE AMBAO MUNGU AMEWAUMBA NA MIOYO YA UTU KWAO UNYAMA NI SUMU, NA NINGEPENDA KUWAOMBA NDUGU ZANGU KWA UJUMLA SASA NI VYEMA UKAMUACHA MWENZAKO AENDELEE NA MAISHA YAKE USIINGIE KATIKA MAISHA YAKE IKIWA LENGO LAKO NI KUONJA ACHA WANAO HITAJI WAPENZI WAKWELI WAMFATE WEWE KAFANYE MENGINE IKIWA BADO HAUPO TAYARI, WATOTO WANAOTOLEWA KABLA YA KUZALIWA, VIFO VYA WAMAMA WATOTO, NA MIKANGANYIKO HII VIISHE, ISIJE FIKA WAKATI TUTASIKIA WATOTO WAKISEMA "BABA YANGU NI FULANI " NA NENO NDOA LIKAPOTEA
naomba yangu muyapokeee

Thursday, June 20, 2013
PETE
NAFAHAMU KUNA NDUGU ZANGU HUZITAMANI SANA PETE ZILIZO KATIKA VIDOLE VYA WENZAO LEO NINA NENO NAO, NAWAAMBIA KWA WENZANGU NA MIMI TUSIO RUHUSIWA KUZIVUA BAADA YA KUKUBALI KWA HIARI YETU KUZIVAA LEO INGETANGAZWA WANAO TAKA KUVUA WAVUE WENGI ZINGE WAVUKA, ILA KUNA SOMO HAPO KABLA HAU JAAMUA KUIVAA MUANGALIE ANAYETAKA KUKUVISHA USIMWANGALIE SURA BALI ROHO YAKE IMEJAA NINI UZANDIKI, ANASA, UPENDO AU HURUMA HARAFU JIANGALIE WEWE UNAMPENDA KWELI SI MDOMONI NAMAAS HA MOYONI UKIPATA MAJIBU UNAJUA JINSI YA KUYAFIKISHA NDOA SI KITU KIDOGO
KAMA HIZI PETE ZINAPENDEZA SANA ILA MVAAJI JE............MOYO WAKE UNASADIFU
MUUNGANO ANAOULILIA
KAMA HIZI PETE ZINAPENDEZA SANA ILA MVAAJI JE............MOYO WAKE UNASADIFU
MUUNGANO ANAOULILIA
YAKWELI ACHA NIYASEME TU
NINAKUMBUKA KITU KIMOJA KILICHO WAHI KUNIUMIZA SANA SITAMANI HATA KUSEMA MDA MWINGINE NAHISI BINADAMU NI VIUMBE WA AJABU SANA, TUMEUMBIWA KUSAMEHE NAFAHAMU ILA KUNA WATU INABIDI TUWASAMEHE TU, KUNA NDUGU MMOJA NILIWAHI KUWA NAE KARIBU TENA SANA MPAKA KULA YAKE NILIIJALI ILA SIKUUJUA MOYO WAKE UMEJAA UONGO, UZANDIKI NA HASA ANASA ILA ALICHOKA MWENYEWE KUNIAMINISHA VISIVYO VYA KWELI KWAKE ALIVUA GAMBA NA KUNIAMBIA WAZI TENA ILIKUWA SIKU YA IBADA AKATAKA AJISAFISHE KWA MUUMBA NILIAMUA KUMUELEWA NA UONGO WAKE WAZUNGU HUUITA UPRITENDER WAKE NIKA MTAKIA SAFARI NJEMA KWELI TENDA WEMA......................
Saturday, June 15, 2013
SHOW YA MWANA F. A MZEE WA BADO YUPOYUPO NAYO ILIKONGA NYOYO ZA MASHABIKI
I LOVE SEEN YOUNG PEOPLE ACHIEVING THIS FAR
MWANA FA NA USIKU WA FINEST KATIKA UKUMBI WA MAKUMBUSHO YA TAIFA
copywrited from global publishers
MWANA FA NA USIKU WA FINEST KATIKA UKUMBI WA MAKUMBUSHO YA TAIFA
copywrited from global publishers
Mwana FA akiwa na Maua kwenye stage...Akiwa na LinahMwana FA akiwa na mkongwe Mafumu Bilal 'Bombenga' pamija Linah...Akimba pamoja na wasanii mbalimbali kwenye show hiyo.
ANACONDA NITE CHEZEA JIDEEE WEWEEE
Subscribe to:
Posts (Atom)