NAWASALIM NDUGU ZANGU,
LEO NAOMBA NIZUNGUMZIE UJIO WA RAIS WA DUNIA HAPA TANZANIA JAMANI NINA MASWALI KADHAA NADHANI HATA NINYI MNA YAJUA ILA NAOMBA NI PATE RUKSA YA KUYAWEKA BAYANA,
- HIVI WATANZANIA WAMEANDALIWA VIPI NA UGENI HUU?
- HIVI WATANZANIA WAMEELEZWA NCHI INAHUSIKA KIVIPI NA UGENI HUU?
- HIVI WATANZANIA WAMEELEZA KIVIPI AU KWA NAMNA GANI WATAFAIDIKA NA UJIO HUU?
- NA JE WATANZANIA WAMEELEZWA ZIARA ZA WAGENI HAWA WANAOFANYA SHUGHURI ZETU ZA KILA SIKU KUSIMAMA KWA MUDA MWISHO WAKE NINI?
No comments:
Post a Comment