look around you

look around you
mysef

Thursday, June 20, 2013

YAKWELI ACHA NIYASEME TU

NINAKUMBUKA KITU KIMOJA KILICHO WAHI KUNIUMIZA SANA SITAMANI HATA KUSEMA MDA MWINGINE NAHISI BINADAMU NI VIUMBE WA AJABU SANA, TUMEUMBIWA KUSAMEHE NAFAHAMU  ILA KUNA WATU INABIDI TUWASAMEHE TU, KUNA NDUGU MMOJA NILIWAHI KUWA NAE KARIBU TENA SANA  MPAKA KULA YAKE NILIIJALI ILA SIKUUJUA MOYO WAKE UMEJAA UONGO, UZANDIKI NA HASA ANASA ILA ALICHOKA MWENYEWE KUNIAMINISHA VISIVYO VYA KWELI KWAKE ALIVUA GAMBA NA KUNIAMBIA WAZI TENA ILIKUWA SIKU YA IBADA AKATAKA AJISAFISHE KWA MUUMBA NILIAMUA KUMUELEWA NA UONGO WAKE WAZUNGU HUUITA UPRITENDER WAKE NIKA MTAKIA SAFARI NJEMA KWELI TENDA WEMA......................
                                   

No comments:

Post a Comment