WASANII WETU MLIOTUTOKA
Nidhahiri kuwa inatupasa kusema jambo kwa wasanii wetu waliotutoka si kwakua hawapo tena ila ni katika hali ya kuyaenzi yale waliyoyaacha ambayo naweza sema waliotuachia. Hali kwetu huku ni salama kwani kudra za Mungu zinatuongoza ila kwenu nyinyi ni sala ndizo twazidi kuwaombea mkapumzike kwa amani hapa si bagui, awe msanii wa tamthiliya au muziki ninyi ni ndugu zetu, mama, kaka zetu basi hatuna cha kusemahivyo mpumzike kwa amani sisi tupo nyuma yenu na kazi zenu daima tutazienzi
hatuwezi kulia kila siku ila tutashirikiana na familia zenu ni kazi ngumu ila Mungu atatuongoza katika safari ambayo hata sisi hatujui lini tutafika ila kwa imani tutafika salama kabisa na kwa furaha
No comments:
Post a Comment