look around you
Saturday, June 22, 2013
USALAMA WETU KAMA RAIA WA TANZANIA
NAIPENDA SANA NCHI YANGU YA TANZANIA NAIPENDA SITU KWASABABU NIMEZALIWA HAPA NIKAKULIA HAPA HAPANA BALI NAIPENDA NCHI YANGU KWAKUA NISEHEMU AMBAYO NAWEZA KUSIMAMA KOKOTE DUNIA NA KUJIVUNIA MIMI KUWA MTANZANIA KW AKUBALIKIWA KILA RASILIMALI KATIKA WATU NK, ILA PIA NAJIVUNIA KUWA NA NCHI AMBAYO INA AMANI NAWEZA KUAMKA NIKAENDA DUKANI BILA KUWAZA BOMU LEO LITAANGUKA AU LAH, ILA KWASASA NIMEANZA KUINGIA SHAKA HUKO NCHI IENDAKO NITAWEZA KUENDELEA NA AMANI HII SISEMI HALI NI MBAYA HIVYO ILA NAANGALI KATIKA PANDE NYINGI FEDHA, MALI ASILI, ELIMU,MIPAKA YA KIMATAIFA NAPATA SHIDA KIDOGO NADHANI IKO HAJA VIONGOZI WASERIKALI, MASHIRIKA YA UMMA YAHAMIE HUKO, UMEFIKA MDA TUULINDE ULE UMOJA WETU, UMEFIKA MDA VIONGOZI WAACHE KUNYOOSHEANA VIDORE NA KUFANYA KAZI SIASA BORA YA NCHI NI ILE TU ILETAYO AMANI SI UBAGUZI NA CHUKI, HIVYO VIONGOZI WAACHE KUAMBIA NANI ALISEMA NINI NA MASWALI YAWE FULANI AMEFANYA HIKI BADO HIKI NA HIKI, NATUMAI SIKU TUKIZINDUKA NCHI ITAKUWA INAOMBA MISAADA YA KUZA KUFUKIA MASHIMO YA DHAHABU ZETU WENYEWE,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment