look around you

look around you
mysef

Friday, June 14, 2013

NINACHO AMINI MIMI KUHUSU MAISHA
Sikila mda basi ni mda wakukaa na kuwaza kwanini hiki kwanini kile sikwamba mambo yanayo tupata sisi wanadamu basi ni kwa mapenzi yetu. Basi kama ni hivyo iko haja kuruhusu kile akili zetu zinajalibu kutueleza, kuna kitu kinaitwa sauti ya ndani ni dhahiri kwamba  sauti hii kila mtu aliumbwa nayo, sasa ni kwavipi tunaisikiliza ilo ndo la msingi, pale nafsi zetu zinapotushawishi,
 maisha yetu yanaongozwa na nini?, Sisi ni viongozi wa maisha yetu hivyo asije mtu leo akaanza kukwambia acha hiki bila fikra kuwa wewe unataka nini basi ukaacha ukaja wakati usije juta,ila waza katika wakati sahihi na tenda katika wakati sahihi
                            ndivyo niaminivyo mimi,

No comments:

Post a Comment