look around you

look around you
mysef

Saturday, June 22, 2013

MAUMIVU YANGU

Dedication to my special friends,
DAH SIJUI NJIA NJEMA YA KUYASEMA HAYA ILA NGOJA NIWASALIM KWANZA, LEO NINA NENO ZITO LA KULITOA ILA NAOMBA MLIPOKEE TU  JAMANI NDUGU ZANGU, KAKA ZANGU,BABA ZANGU, BABU ZANGU NINAWAOMBA TU MLIPOKEE. NAZUNGUMZA NA KAKA ZANGU AMBAO HUPENDA KUWATUMIA WASICHANA KUJISTAREHESHA MIILI YAO, NA BAADA YA KUONA WAMERIDHIKA HUWADHIHAKI WASICHANA HAO NA KUWADHARIRISHA KISHA KUWAACHA, KUNA RAFIKI YANGU MMOJA ALIWAHI KUNIAMBIA' KAMWE USIMFANYE MWANAMKE AKULILIE LAZIMA UJUE MACHOZI YAKE IPO SIKU UTAYALIPA', NENO HLI KWANGU LINA MAANA SANA ILA KWA BAADHI YA KAKA ZANGU HALINA MAANA KABISA SIJUI HUWA WANAONA KUWA WAO WANAHAKI YA KUWAFANYIA VYOVYOYE WANAWAKE HAWA, ILA HUWA SIWAELEWI KWANI BAADAE HUWAFATA HAOHAO NA KUWATAKA WAWA OE. SIKU MMOJA NILIUMIA SANA BAADA YA ZAIDI YA RAFIKI ZANGU WAWILI WALINIAMBIA  WALIKUWA WAMEKATALIWA NA WAZAZI WAO WA KIUME, SIJUI WENZETU WAMEUMBWA KUTUNYANYASA, KUTUDHIHAKI, KUTUDHARAU AU KUTUTUMIA KAMA VYOMBO DAH NILIUMIA SANA, ILA NAWASHUKURU WANAUME WACHACHE AMBAO MUNGU AMEWAUMBA NA MIOYO YA UTU KWAO UNYAMA NI SUMU, NA NINGEPENDA KUWAOMBA NDUGU ZANGU KWA UJUMLA SASA NI VYEMA UKAMUACHA MWENZAKO AENDELEE NA MAISHA YAKE USIINGIE KATIKA MAISHA YAKE IKIWA LENGO LAKO NI KUONJA ACHA WANAO HITAJI WAPENZI WAKWELI WAMFATE WEWE KAFANYE MENGINE IKIWA BADO HAUPO TAYARI, WATOTO WANAOTOLEWA KABLA YA KUZALIWA, VIFO VYA WAMAMA WATOTO, NA MIKANGANYIKO HII VIISHE, ISIJE FIKA WAKATI TUTASIKIA WATOTO WAKISEMA "BABA YANGU NI FULANI " NA NENO NDOA LIKAPOTEA
                naomba yangu muyapokeee
                                  

No comments:

Post a Comment