look around you

look around you
mysef

Thursday, June 20, 2013

PETE

NAFAHAMU KUNA NDUGU ZANGU HUZITAMANI SANA PETE ZILIZO KATIKA VIDOLE VYA WENZAO LEO NINA NENO NAO, NAWAAMBIA KWA WENZANGU NA MIMI TUSIO RUHUSIWA KUZIVUA BAADA YA KUKUBALI KWA HIARI YETU KUZIVAA  LEO INGETANGAZWA WANAO TAKA KUVUA WAVUE WENGI ZINGE WAVUKA, ILA KUNA SOMO HAPO KABLA HAU JAAMUA KUIVAA MUANGALIE ANAYETAKA KUKUVISHA USIMWANGALIE SURA BALI ROHO YAKE IMEJAA NINI UZANDIKI, ANASA, UPENDO AU HURUMA HARAFU JIANGALIE WEWE UNAMPENDA KWELI SI MDOMONI NAMAAS HA MOYONI UKIPATA MAJIBU UNAJUA JINSI YA KUYAFIKISHA NDOA SI KITU KIDOGO
                                   
KAMA HIZI PETE ZINAPENDEZA SANA ILA MVAAJI JE............MOYO WAKE UNASADIFU
MUUNGANO ANAOULILIA

No comments:

Post a Comment